Friday, 29 July 2016

HABARI ZA MAZINGIRA (MAZINGIRA GAZETTE)*news: Matatizo ya ardhi tanzania

HABARI ZA MAZINGIRA (MAZINGIRA GAZETTE)*news: Matatizo ya ardhi tanzania: TANZANIA kuna matatizo mengi ta ardhi ambayo yamewahi kulipotiwa na vyombo mbalimbali na kutokana na hilo mamraka mbali mbali za kisheria am...

Thursday, 28 July 2016

Matatizo ya ardhi tanzania

TANZANIA kuna matatizo mengi ta ardhi ambayo yamewahi kulipotiwa na vyombo mbalimbali na kutokana na hilo mamraka mbali mbali za kisheria ambazo zinahusika na masuala ya ardi zimeundwa lakini bado ufanisi wake umekua mdogo na hata katika vipindi mbalimbali ku kaa na kushuhudia wanachi wengi wkipoteza maisha tu kwa sababu za kugobea ardhi ambayo wengi wao ndio imekuwa kama hadhina na rasilimali kubwa ya kuwafanya waingize kipato na hata kuendesha maisha yao ya kila siku kama wengi tunavoelewa na kujua kuwa aridhi ni neno pana linako beba vitu vigi ndani yake ikiwa ni pamoja na udongo,maji hewa na kadharika.
 Je wewe kama mwananchi wa kawaida umechukua hatua zipi ili kuitunza aridhi hii ambayo ni rasilimali muhimu kwa maisha ya kila siku. pamoja na hayo umechukua hatua zipi ili kujiepusha na migogoro ya ardhi. tukitazama kwa undani migogoro mingi ya ardhi nchini tanzania imekuwa ikisababishwa na uelewa mdogo na pia ukosefu wa elimu juu ya matumizi bora ya ardhi.
 Imeripotiwa mara kadhaa kuwa jamii za wafugaji na wakulima zimekuwa zikipambana vikali ili tu kujipatia ardhi kwa ajiri ya matumizi yao ya kila siku serikali nayo mara kadhaa imeshuhudiwa ikijishughulisha katika kutatua mata tizo hayo lakini swali la kujiuriza ni kwamba je serikali imeshindwa kutatua matatizo hayo? kama ndiyo tufanye nini ili tutatue matatizo hayo? pamoja na hayo lakini pia wanawake wamekosa nafasi kubwa ya kumiliki ardhi na hata kuishia kuwa kama vibarua kwenye mashamba ya waumezao au ndugu zao na muda mungine wanapo fiwa waumezao wamekua wakikosa haki ya kumiliki au kuruthi ardhi iliyo achwa na waenzi wao je tufanye nini ili haya tuyatokomeze.
            TANZANIA INCHI YENYE UVUMILIVU ILA GIZA LIMETANDA